Nyumba ina vyumba 3 vya kulala, sebule, jiko na public toilet pia ina frame 2 ambazo zina watu tayari. Ina umeme na maji pia ina uwanja wa (18*18.5). Inaangalia barabara ya mtaa na gari inafika mpaka mlangoni pia unaweza kujenga frame na kwa nyumba za kupangisha inafaa pia. Karibu sana maongezi yapo USIOGOPE BEI