• Kiwanja Cha Makazi Kinauzwa

Kiwanja Cha Makazi Kinauzwa

Posted Jan 17
Zinga, Bagamoyo, Tanzania
93 views
Residential Land
Type
452
sqm
Square meters
Residential
Property Use
Kiwanja kipo mahali ambapo tayari majirani wameshajenga na maisha yanaendelea.
Kipo mahali ambapo ni karibu na barabara ya kuingia Mjini Bagamoyo kutoka Dar-es-Salaam na pia ni karibu na barabara ya Bagamoyo - Msata.
Tayari miundombinu muhimu ipo.
Piga simu tu na kiwanja kinakuwa mali yako .
TSh 6,500,000
Last seen 1 month ago
0715688507
Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

Similar adverts