tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Fashion
  3. Women's Fashion
  4. Women's Bags
  5. Backpacks
  6. Pl Power Backpacks
Zanzibar, 7 hours ago
1 views

PL POWER Original - Backpack Ya Laptop / Safari - Army Green Zanzibar

+1
1
Backpacks
Type
Unisex
Gender
Brand New
Condition
Light Green
Color
Fabric
Exterior Material
Jina la bidhaa (title): begi imara pl power - backpack ya shule / chuo / safari / laptop - army green bei: tzs () -: begi imara sana pl power - original! watu wa zanzibar na dar mpo? begi hili limefika! sifa zake: mifuko 4 mikubwa + 2 ya pembeni ya chupa ya maji inabeba laptop inch 15, vitabu 6-8, na nguo za safari zipu zake ni chuma ngumu, haziharibiki haraka ndani kuna mifuko midogo ya siri ya pesa/sim rangi: army green - hai marmasi haraka inafitia nani? • wanafunzi wa shule / chuo • watu wa safari zanzibar - dar • kazi / ofisi - inabeba laptop vizuri • mazoezi / gym nipo: zanzibar mjini - lakini natuma dar pia delivery: zanzibar mjini - saa 1-2 tu! dar es salaam - kesho yake kwa boti - lipa baada ya kuona mzigo - zanzibar mjini nipigie / whatsapp ]
Show contact
PL POWER Original - Backpack Ya Laptop / Safari - Army Green Zanzibar
TSh 35,000
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif