tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Beauty & Personal Care
  3. Vitamins & Supplements
  4. Immune System Boosters
Zanzibar, Mjini Magharibi, 29/05
1 views

Kuwaka Miguu Moto

+1
Edmark International
Brand
Immune System Boosters
Type
Antioxidant
Active Ingredients
Liquid
Formulation
All
Gender
Adult
Age Group
Coffee
Flavor
All Natural
Features
Other
When to Take
Other
Package
Siku zote ukisikia miguu inawaka moto fikiria nyanya za umeme wa mwili zinazopeleka umeme kwenye miguu. Hizi nyanya tunaziita neva za fahamu. Kama hizi nyanya zikipata shida (peripheral neuropathy) unasikia maumivu kama kuwaka moto kwenye miguu. Kuna vyanzo vingi vinavyosababisha shida hii. Angalia hapa na gundua ambayo inaweza kuwa inakuhusu 1. KUCHOKA Hii huwapata wale ambao wanafanya kazi ya kutembea muda mrefu, kusimama muda mrefu au kukaa muda mrefu. 2. KISUKARI Sukari nyingi kwenye damu inapelekea kuharibu mishipa ya damu inayozilisha neva za fahamu za miguuni na hivyo hizi nyanya zinaharibika. Wakati mwingine kama unashida ya miguu kuwaka moto bila sababu maalumu na isiyosikia matibabu, kapime sukari.
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif