KULA MAYAI BADALA YA CHAPATI ASUBUHI UPUNGUE ZAIDI
Badala ya kula chapati wakati wa breakfast andaa mayai kwani yatakusaidia sana kupungua. Mayai yana protini kwa wingi ambayo humsaidia mlaji kuhisi kushiba kwa muda mrefu, kutumia mayai asubuhi ni vizuri zaidi kwasababu itakusaidia kula kiwango kidogo cha chakula kwa siku nzima. Unaweza kuongeza matunda mazuri kama papai na tango kwenye breakfast yako pia.
Je chakula gani kingine si kizuri ikiwa mtu anataka kupungua? Tuambie kwenye comments.
Hata kama sio wewe basi unae mtu/rafiki/ ndugu mwenye tatizo kama hili msaidie kwa kumpa taarifa ili aweze kupata matibabu