Wakati mwengine tunajikuta tumetawaliwa na uchovu,umakini kupungua na hata kushindwa kumaliza majukumu yako kwa wakati na kupelekea wakati mwingine hata kazi yako kuwa matatani hasa katika kipindi hichi cha ushindani wa biashara... Pata kahawa ambazo zitakupa nguvu na kuwajibika zaidi kwa kukuondolea uchovu badala ya kunywa dawa za maumivu...