BODY SCRUB BATH CREAM TUMERIC
Hii ni scrub ya kuogea ambayo imetengenezwa kwa turmeric
Hii scrub ni motooooo !!
Inatakatisha na kung'arisha balaa na ina uwezo mkubwa wa kukupa rangi moja!
Ni zile body scrub zenye mapovu ya kutosha kiasi kwamba hauhitaji sabuni wakati wa kuoga
Huondoa dead cells
Huondoa makovu ya chunusi na madoa
mwilini.
Ina kuacha soft na umetakata haswaaa