[12/21/2020, 10:17 pm] bobo: kina ukubwa wa sqr mita 60×60 [12/21/2020, 10:17 pm] bobo: ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master, sitting room dinning, kitchen na public toilet
Nyumba inauzwa kibaha misugusugu
Ina vyumba viwili vya kulala.kimoja master
Umbali mita 500 toka morogoro road
Ukubwa wa kiwanja 20 kwa 20
Bei milioni 27
076*********