Kiwanja kizuri sana kinauzwa toangoma oil com kinatazama lami kubwa.
loc.: toangoma oilcom.
ukubwa : ~sqmt 750
umiliki : hati miliki hipo mkononi.
hii sio ya kuikosa, ... ! karibu ukague utupe offa yako...
kumbuka kua muaminifu unapowasiriana na sisi.
kupelekwa site elf 20