tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Property
  3. Land & Plots for Sale
  4. Ni Viwanja Vya Mjini Kabisaaa Wadau
Ni Viwanja Vya Mjini Kabisaaa Wadau

Ni Viwanja Vya Mjini Kabisaaa Wadau

+1
3
Dar es Salaam, Temeke, Toangoma
115 views
Mixed-Use Land
Type
400 sqm
Square Metres
Mixed
Property Use
Water Supply, Electric Supply
Facilities
Ni booonge la Eneo lililokwenda shule.Ninapsema viwanja vya mjini,basi ujue ni viwanja vikali na vya mjini kweli. viwanja vipo Toangoma wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam viwanja vimekatwa kwa mitaa na barabara. size ya viwanja ni 50x50 futi. Bei yake ni kati ya milioni 3- had 6 inategemea na mtaa, barabara au vyenginevyo ukubwa wa viwanja ni size moja,hata Kama itatofautiana bei. viwanja vipo umbali wa kilometa 1 tu kutoka barabara kuu ya Iami yani Toangoma magengeni. umeme upo tayari,maji yapo,yani unajenga na kuhamia.kwa maana nyumba ni nyingi kama zote. kwa maelezo zaidi usisite kunipigia simu wakati wowote.
TSh 3,000,000
1 Feedback view all
Safety tips
  • Don't pay inspection fees
  • If possible, take friends along for viewing
  • Check everything carefully to make sure it's what you need
  • Don't pay in advance if you can't move in immediately
Mark unavailable
Report Abuse
  1. Mixed-use Land for Sale Land & Plots for Sale