ps4 slim 500gb inauzwa – full set
nauza playstation 4 slim 500gb katika hali nzuri, inafanya kazi vizuri.
vilivyopo kwenye seti:
ps4 slim 500gb
padi 2 (controllers zote mbili)
hdmi cable
power cable (waya wa umeme)
waya wa kuchajia padi
games 5:
1. fc 26
2. mortal kombat
3. god of war ragnarök
4. need for speed heat
5. call of duty
offline console – cheza games bila kutegemea internet, kulingana na game husika.
bei: tsh 550,000
kila kitu kipo kwenye seti. unapata console, padi zote mbili, nyaya zote na games tano.
kwa maelezo zaidi au kufanya makubaliano ya ununuzi, wasiliana nami kupitia ujumbe au simu.
mteja serious tu. karibu!