TV YA HISENSE SMART 4K INAUZWA!
Nauza Hisense Smart 4K TV, inafanya kazi vizuri, ila ina kasoro ndogo ya mstari kwenye screen japo hauonekani sana. Box lake lipo.
Hisense Smart 4K
Smart TV
Inafanya kazi vizuri
Box lipo
Ina mstari mmoja kwenye screen japo hauonekani kirahisi, mnunuzi anakaribishwa kuiona na kuikagua.
Mawasiliano:
/
Bei ni maelewano. Mwenye uhitaji anipigie au anitumie WhatsApp.