tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Health & Beauty
  3. Vitamins & Supplements
  4. Immune System Boosters
Viashiria Vya Vidonda Vya Tumbo

Viashiria Vya Vidonda Vya Tumbo

+1
2
Dar es Salaam, Temeke
6 views
Better Bodies
Brand
Immune System Boosters
Type
Drink
Formulation
All
Age Group
➡ Maumivu ya mgongo au kiuno ➡ kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia(nguvu za kiume /za kike) ➡ .kizunguzungu ➡ .kukosa usingizi au usingizi wa mara kwa mara. ➡. maumivu makali. sehemu ya mwili, kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano ➡. mgongo kuwaka moto. ➡.kichefuchefu, ➡.kiungulia, ➡.tumbo kujaa gesi, ➡.tumbo kuwaka moto, ➡.maumivu makali sehemu kilipo kidonda, ➡.kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi. ➡.kutapika nyongo, ➡.kutapika damu au kuharisha, ➡.sehemu za mwili kupata ganzi ➡.kukosa hamu ya kula, ➡.kula kupita kiasi, ➡.kusahahu sahau na hasira. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa hatari sana kwa mtu kuishi nao kwa muda mrefu bila kufanya tiba kwani unaweza kua ndio sababu ya kupata bawasiri, ngiri pia unapelekea upungufu wa nguvu za kijinsia
Viashiria Vya Vidonda Vya Tumbo
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
Mark unavailable
Report Abuse