tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Health & Beauty
  3. Vitamins & Supplements
  4. Immune System Boosters
Tiba Ya Matatizo Ya Nywele Uhalaza /Kipara

Tiba Ya Matatizo Ya Nywele Uhalaza /Kipara

+1
5
Dar es Salaam, Temeke
73 views
Natural Factors
Brand
Immune System Boosters
Type
Oil
Formulation
All
Age Group
!! kuna sababu nyingi zinazoweza kupelekea kupotea kwa nywele kupatwa na matatizo ya nywele mbalimbali upara kiwalaza !! 1} sababu za kimazingira, 2} kuzeeka, 3} msongo wa mawazo (stress), 4} kuvuta sigara kupita kiasi, 5} lishe duni, 6} homoni kutokuwa sawa, 7} kurithi 8}maambukizi kwenye ngozi ya kichwa 9} matumizi yasiyo sahihi ya vipodozi vya nywele 10} baadhi ya dawa za hospitali 11} matatizo katika kinga ya mwili li. 12} upungufu wa madini mwilini na magonjwa mengine sugu, tuna mfumo mzuri, bora wa uhakika juu ya kutibu tatizo hili la kipara mpaka unapona uvumilivu unahitajika zaidi kwani ni tiba inayochukua muda mrefu kwa kawaida kama siku 30-90 njia za kujisaidia mwenyewe (a) tumia vitamin vitamin supplements zinakupa virutubisho vinavyo kusaidia kukuza nywele zako. image result for vitamin supplements for hair (b) kula vyakula vya protein. vyakula vya protein kama vile nyama, maziwa, maharage ya soya, maparachichi, na mbegu za maboga
Safety tips
  • Do not pay in advance, including for delivery
  • Meet at a safe public location
  • Check the item BEFORE paying
  • Only pay after collecting the item
Mark unavailable
Report Abuse
  1. Beauty Supplements
  2. Hair Supplements