tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Health & Beauty
Mafuta Tanzania( Mawese,Kambili,Mise RBD)

Mafuta Tanzania( Mawese,Kambili,Mise RBD)

+1
Dar es Salaam, Temeke
47 views
Forever Living
Brand
Antioxidants
Type
Antioxidant
Active Ingredients
Liquid
Formulation
All
Age Group
Mafuta Tanzania, tunauza mafuta ya fuatayo na kazi zake 1.mawese,haya ni mafuta ya mchikichi yanakua bado na rangi nyekundu na njano,yanaradha,na mazuri kwa kupikia mboga,maharage na futali 2.kambili,,ni mawese yaliyo badilishwa rangi kwa moto,hayana rangi na radha,yanafaa kwa kukangia samaki na kupikia wali 3 mise ni mafuta ya kiini cha ndani cha mbegu ya chikichi haya yanatumika sana kutengenezea sabuni,na mafuta ya kujipaka 4 RBD haya ni (refinery bleached deordorized ) haya ni mawese yaliyotolewa rangi kwa kitumia chemical yanafaa sana kwa kutengenezea sabuni... yote yanapatikana kwa Mr.HaRo's ndani ya jiji la dar es salaam, free derivery ndani ya dar es salaam
TSh 3,500

TSh 3,000

≥ 5 pieces
2 Feedback view all
Safety tips
  • Do not pay in advance, including for delivery
  • Meet at a safe public location
  • Check the item BEFORE paying
  • Only pay after collecting the item
Mark unavailable
Report Abuse
  1. Vitamins & Supplements