tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Beauty & Personal Care
  3. Vitamins & Supplements
  4. Omega 3
  5. Arctic Vitamins & Supplements
Dar es Salaam, Temeke, 1 hour ago
2 views

Forever Arctic Sea

+1
Forever
Brand
Brain & Cognitive Supplements
Type
Omega Fatty Acid, Omega-3
Active Ingredients
Capsule
Formulation
All
Gender
All
Age Group
Unflavored
Flavor
All Natural
Features
During Meal
When to Take
Bottle
Package
Delivery
Dar es Salaam • Kinondoni
1 day
TSh 5,000
Across country
1-2 days
TSh 10,000 - 15,000
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Closed now
• Mon - Sat, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed now
• Mon - Sat, 09:30-10:30
Forever arctic sea ni mchanganyiko wa mafuta ya SAMAKI, Mafuta ya mizaituni pamoja na calamari Hii Ina Omega 3 pamoja na Omega 9 kwenye Kila soft gel unayotumia either ni mtu mzima au mtoto Ina mchanganyiko wa SAMAKI wa 4 maarufu kukupa omega 3 iliyobora zaidi, omega 3 ni chakula Cha ubongo kwa watoto kwanzia mdogo mpaka anapokuwa kufanya awe na uchangamfu, ukuaji wa ubongo kwa haraka, Kinga ya mwili, afya ya macho na ngozi Omega 3 pia ni nzuri sana kwa watu wazima mana huboresha afya ya moyo kwa kuongeza kiwango Cha mafuta mazuri ndani ya mirija ya damu inayoyeyusha mafuta mabaya yanayoganda ndani ya mirija( Cholesterol). Pia mtu mzima au wazee inasaidia sana kwenye Kinga, macho na kuboresha kumbu kumbu. Bidhaa hii Ina allergy kwa wasiotumja SAMAKI .
Show contact
TSh 120,000

TSh 100,000

≥ 10 pieces
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif