Forever fab energy drink ni kinywaji chenye kukurutubisha na kukuongezea nguvu kitokanacho na mmea wa guarana, aloe vera, cranbery na schizandra vinavyoongeza vitamini b3, b5, b6, b12, amino acids wanga na protini. faida zake ina kiwango kidogo cha calories ukilinganisha na vinywaji vingine energy. kuongeza nguvu kwa wanamichezo, madereva wenye kazi nyingi. hukupa nguvu ya hapo kwa hapo na ya kudumu kwa muda mrefu. kina ladha nzuri. haina caffeine wala sukari ya kutengenezwa bali ina caffeine ya asili(tunda la guarana) linalopatikana nchini brazil. huboresha tendo la ndoa (longevity na libido). inasaidia maumivu ya kichwa. husafisha sumu mwilini hasa kwenye mafigo na maini. husaidia kuondoa hangover. imepitishwa na anti dopping (hakina kemikali). tumia energy drink ya asili iliyo tengenezwa na mimea