tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Leisure & Activities
  3. Sports Equipment
Dar es Salaam, Temeke, 09/06
6 views

Baiskeri Tiba Kwa Ajili Ya Wazee Na Wagonjwa

+1
3G Cardio
Brand
Exercise Bikes
Type
150kg
Max Cyclist Weight
Brand New
Condition
Delivery
Pwani Region • Mkuranga
1-2 days
TSh 10,000 - 15,000
BAISKERI TIBA KWA AJILI YA WAZEE NA WAGONJWA Je, wewe au ndugu yako anasumbuliwa na udhaifu wa miguu na mikono, amepata stroke, anahitaji mazoezi ya mwili au ni mzee anayehitaji kujiweka imara kiafya? Baiskeri hii maalum ya mazoezi imeundwa kusaidia kufanya mazoezi ya mikono na miguu ukiwa umekaa kwenye kiti kwa usalama na urahisi. Huimarisha misuli ya mikono na miguu Huboresha mzunguko wa damu mwilini Husaidia mazoezi baada ya stroke Hupunguza kukakamaa kwa viungo Husaidia wazee kubaki na nguvu na ufanisi wa mwili Rahisi kutumia nyumbani kila siku Inafaa kwa wazee na wagonjwa wa aina mbalimbali Huna haja ya kwenda gym! Fanya mazoezi ukiwa nyumbani kwako kwa dakika chache kila siku. Tunapatikana VIKINDU Kwa maelezo zaidi au kuagiza piga simu:
Baiskeri Tiba Kwa Ajili Ya Wazee Na Wagonjwa
TSh 280,000
Fixed price
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif