Mashine ya diagnosis (autocom cdp+) inauzwa.
zimebaki 2 tu.
ni mpya ikiwa na cable zake 16 kwa ajili ya gari mbalimbali ndogo na kubwa. ( mpaka malori na trailers kama wabco trailers). kwa mtu aliyetumua delphi ds150 series hii ni kubwa yake.
inadiagnose mifumo yote ya umeme kwenye gari kama engine, gearbox, abs, airbag, immobilizer, ac, n.k. kwenye malori pia unaweza kudiagnose systems za hewa, adblue/scr, dpf na mengine mengi.
pia ina reset functions nyingi kwa kila module iliyopo kwenye gari.
utahitaji laptop ili uweze kuitumia. unaweza kuunganisha na laptop kwa kutumia waya au bluetooth.
dondosha offer yako whatsapp
Condition: Brand New