Elegance in Every Step!
Slide za kike zenye urembo wa kung'aa na sol ngumu ya soft inayokupa muonekano wa kipekee kabisa! Ni nyepesi, zinapendeza, na zinafaa kwa mtoko wowote wa hangout au mtoko wa kawaida.
Brand: Zarv
Rangi: Brown & Black (Kama zinavyoonekana)
Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa!
Weka oda yako sasa kupitia DM au WhatsApp
Smartdeals Store – Tunakupa kilicho bora tu!