Clean as new, nipigie no , simu ipo vizuri ina miezi miwili, ni mpya kabisa napatikana chuo cha uhasibu kurasini, ina megapix 24 na ram yake ni 4gb pamoja na storage ya 128gb
Simu km inavyoonekan kwenye picha ipo kweny condition nzur maongezi yapo kidogo exchange pia znaruhusiwa inategemea na simu tu nipo mbagala zakhiem kama upo interested nicheki