Umechoka kukaa sana jikoni? Huna muda ya kupika? Sisi ni wauzaji wa frozen&fried bites,yaani unachukua kwetu kitu kimeandaliwa salama na tayari kwa matumizi. Tunapatikana kigamboni,karibuni sana.
Frozen Sambusa:6000
Fried Sambusa:7000
Frozen kababu:10000
Fried kababu:12000
Frozen eggchop:12000
Fried eggchop:15000