Kwa yule aliyekidhi vigezo, ataanda CV na Barua yake, kisha ataelekezwa jinsi ya kuwasilisha maombi yake.
Mchakato wa kuunganishwa na Agency ya Ajira Connection Tanzania, mwombaji atalipia Tzs. 20,000/= tu ya uwakala. Nayo hulipwa kwa Control number ya Ofisi (Ajira Connection Tanzania).