• Viwanja Vya Beach Vinauzwa Kigamboni

Viwanja Vya Beach Vinauzwa Kigamboni

Posted Apr 23
Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
260 views
Residential Land
Type
Mradi mpya!!!
Buyuni beach plot.
-ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-mradi upo buyuni beach.
-umbali ni 45km toka kigamboni ferry.
-huduma zote za kijamii zinapatikana.
-viwanja vimepimwa kuanzia square meter 400 na kuendelea.
-eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-bei ya square meter moja ni 35000.
Bei ya square meter 400(20m kwa20m) ni milioni 14.
-hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
-maongezi yapo.
Njia za malipo
unaanza kulipa asilimia 50 inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi sita ama mwaka mzima ukiigawanya kwa kila mwezi.
Zingatia:
viwanja havigusi maji moja kwa moja ila ni mita chache toka baharini na view ya bahari
TSh 14,000,000
Last seen 11 hrs ago
0763465758
Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

Similar adverts