• Tunakopesha Viwanja Vilivyopimwa Kigamboni Dege

Tunakopesha Viwanja Vilivyopimwa Kigamboni Dege

Posted 17 minutes ago
Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
62 views
Residential Land
Type
360
sqm
Square meters
Tunakopesha Viwanja vilivyopimwa kigamboni dege sqm1=18000/=
viwanja vipo jirani kabisa na Barabara kubwa ya lami iendayo feri kigamboni au cheka,Vinatizamana na mradi mkubwa wa magorofa ya DEGE ECO VILLAGE kilomita15 ukitokea fery kilomita18 ukitokea daraja jipya la Mwalimu Nyerere kigamboni.
BEI:kuanzia milioni4, milioni6, milioni7,milioni9.vimepimwa kwa ukubwa ufuatao(sqm360,sqm400,sqm500,)
Uzuri wa viwanja hivi,huduma muhimu zote zipo,umeme,shule,hospitali na nyumba za ibada.
Utaratibu wa mkopo mteja anatakiwa alipie asilimia 50 iliyobaki ataendelea kulipia kidogo kidogo ndani ya miezi 3 .
065 xxx
TSh 6,400,000
Last seen 3 hrs ago
065 xxx
0657326842
Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz
Please read safety tips
  • Do not submit any upfront fees for a real estate inspection.
  • Do not go to unfamiliar places alone.
  • Double check real estate agency background.

Similar adverts