• Tunakopesha Viwanja Vilivyopimwa Kigamboni Dege

Tunakopesha Viwanja Vilivyopimwa Kigamboni Dege

Posted yesterday, 20:56
Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
147 views
Residential Land
Type
400
sqm
Square meters
Tunakopesha Viwanja vilivyopimwa kigamboni dege sqm1=18000/
Viwanja vipo jirani kabisa na Barabara kubwa ya lami iendayo feri kigamboni au cheka.Vinatizamana na mradi mkubwa wa magorofa ya "DEGE ECO VILLAGE"kilomita15 ukitokea fery, kilomita17 ukitokea daraja jipya la Mwalimu Nyerere kigamboni.
Vimepimwa kwa ukubwa ufuatao
mita18*20=sqm360
mita20*20=sqm400
mita20*25=sqm500
Huduma muhimu zote zipo,umeme,shule,hosipitali na nyumba za ibada.
Utaratibu wa mkopo mteja anatakiwa alipie asilimia 50 iliyobaki ataendelea kulipia kidogo kidogo ndani ya miezi 3 .
065 xxx
TSh 6,400,000
Last seen 7 hrs ago
065 xxx
0657326842
Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz
Please read safety tips
  • Do not submit any upfront fees for a real estate inspection.
  • Do not go to unfamiliar places alone.
  • Double check real estate agency background.

Similar adverts