Miliki Kiwanja Kilichopimwa Kwa Mkopo Wa Miezi 3,Kigamboni

Posted today, 09:08
Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
111 views
Residential Land
Type
400
sqm
Square meters
Yes
Exchange Possible
Tunakopesha viwanja vilivyopimwa kigamboni dege sqm1=18000/
viwanja vipo jirani kabisa na barabara kubwa ya lami iendayo fery kigamboni au vinatizamana na mradi mkubwa wa magorofa ya dege eco village kilomita15 ukitokea fery kilomita18 ukitokea daraja jipya la mwalimu nyerere kigamboni.
Vimepimwa kwa ukubwa ufuatao:
mita18*20=sqm360tsh 6400,000/
mita20*20=sqm400tsh 7200,000/
mita20*25=sqm500 tsh 9000,000/
uzuri wa viwanja hivi huduma muhimu zote zipo jirani, umeme,shule,hosipitali,na nyumba za ibada.
Utaratibu wa mkopo mteja anatakiwa alipie asilimia 50 iliyobaki ataendelea kulipia kidogo ndani ya miezi 3.Kwa maelezo zaid,tembelea ofisi zetu zilizopo kigamboni kibada kituo ni" shangwe ndogo au gari bovu"kuja kutazama viwanja ni bule akuna garama yeyote ya kulipia.
065 xxx
 • Miliki Kiwanja Kilichopimwa Kwa Mkopo Wa Miezi 3,Kigamboni
 • Miliki Kiwanja Kilichopimwa Kwa Mkopo Wa Miezi 3,Kigamboni
 • TSh 6,400,000
  Last seen 5 hrs ago
  065 xxx
  0657326842
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz
  Please read safety tips
  • Do not submit any upfront fees for a real estate inspection.
  • Do not go to unfamiliar places alone.
  • Double check real estate agency background.

  Similar adverts