• Miliki Kiwanja Kilichopimwa Kwa Mkopo Kigamboni Dege

Miliki Kiwanja Kilichopimwa Kwa Mkopo Kigamboni Dege

Posted yesterday, 21:01
Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
75 views
Residential Land
Type
400
sqm
Square meters
Yes
Exchange Possible
Tunakopesha Viwanja vilivyopimwa kigamboni dege .
viwanja vipo jirani kabisa na Barabara kubwa ya lami iendayo feri kigamboni au kimbiji, vinatizamana na mradi mkubwa wa magorofa ya DEGE ECO VILLAGE kilomita18 ukitokea ferry kilomita20 ukitokea daraja jipya la Mwalimu Nyerere kigamboni.vimepimwa kuanzi sqm,300,400,500,600.Utaratibu wa mkopo mteja anatakiwa alipie asilimia 50 iliyobaki ataendelea kulipia kidogo kidogo ndani ya miezi 3.Huduma muhimu zote zipo jirani na viwanja hivi,kama umeme,shule,hospital na nyumba za ibada.
065 xxx
TSh 6,400,000
Last seen 8 hrs ago
065 xxx
0657326842
Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz
Please read safety tips
  • Do not submit any upfront fees for a real estate inspection.
  • Do not go to unfamiliar places alone.
  • Double check real estate agency background.

Similar adverts