Kiwanja kinauzwa kipo kigamboni bamba madukani. Kipo karibu kabisa na barabara kuu ya kwenda Geza yaani ukitoka getini unaingia barabara ya rami. Ni kizuri kwa kujenga nyumba ya kuishi au frame za biashara
Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 3200 kinauzwa kiwanjo kipo barabarani kabisa, huduma zote za kijamii zinapatikana, eneo ni zuri kwa biashara kama hotel, shell, supermarket, frames n.K.
Kwa mawasiliano zaid juu ya manunuzi, piga simu