Ad is archive
find similar ads in Land & Plots for Rent in Temeke

  • Archive: Viwanja Vinauzwa

Archive: Viwanja Vinauzwa

Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
Residential Land
Type
400
m2
Square meters
No
Broker Fee
Archive: Karibu ujipatie kiwanja kizuri kilichopimwa na kuzungukwa na huduma muhimu kama maji, umeme, eneo la soko, eneo la shule, eneo la kituo cha afya na maeneo ya ibada. Mji umeanza kujengeka kwa spidi.<br />Viwanja vyetu vinapatikana kisemvule, mbele kidogo ya vikindu. Ni km chache tokea mbagala kongowe. Usafiri wa kufika ni uhakika, kuna magari ya kutokea gerezani-kisemvule, kivukoni-kisemvule, temeke -kisemvule n.K<br />ukubwa wa viwanja : kuna futi 50 x 40 milion 1.3 kuna futi 50 x 80 (sqm 400) mil 2.6 kuna futi 80 x 100(sqm 800) mil 5.2 kuna futi 150 x 80 (sqm 1200)mil 7.8 etc<br />n:b pia kama unahitaji eneo kubwa kwa ajili ya kujenga shule binafsi, kituo cha afya binafsi, kumbi ya starehe n.K maeneo yapo. Karibu sana piga/whatsaap{phone=0627952483}
  • Archive: Viwanja Vinauzwa
  • CLOSED

    Ahmed Property

    Last seen 5 months ago

    Similar adverts