Ad is archive
find similar ads in Land & Plots for Rent in Temeke

  • Archive: Viwanja Vinauza

Archive: Viwanja Vinauza

Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
Residential Land
Type
400
m2
Square meters
No
Broker Fee
Archive: Obey new village bado mambo yanaendelea kuwa moto. Karibu ujipatie kiwanja chako sasa. Bei zetu ni zilezile. Ukubwa wa futi 50 x 40 milion 1.3, ukubwa wa futi 50 x 80 milion 2.6 na ukubwa wa futi 100 x 80 milion 5.2 nakuendelea.<br />Viwanja vimezungukwa na huduma zote muhimu jirani kama maji, umeme, eneo la shule, zahanati na eneo la stendi. Pia usafiri ni uhakika, kutokea gerezani mpaka kisemvule, kivukoni kisemvule, temeke kisemvule. Unaweza kulipa kidogo kidogo bila riba wala dhamana ndani ya miezi mitatu baada ya kutanguliza asilimia 50% ya malipo ya awali. N.K<br />kwa maelezo piga simu{phone=0627952483}.
CLOSED

Ahmed Property

Last seen 5 months ago

Similar adverts