- viwanja vipo mwasonga - kigamboni,
- ukubwa ni mita 25 kwa 40 (sqm 1,000/=),
- bei ni milioni nne tu kwa viwanja vya makazi,
- anza kwa kulipa milioni moja tu ,
- kiasi kinachobaki unalipia ndani ya miezi kumi, yaani laki tatu tu kila mwezi mpaka unamaliza deni,
- mazingira ni mazuri, umeme , barabara, na huduma nyingine muhimu zimefika mpaka site.
- viwanja viko kigamboni, chekeni mwasonga, 9km kutoka kiwanda cha nyati cement, 15km kutoka dar zoo.
- viwanja vimepimwa , taratibu za hati ni baada ya kukamilisha malipo
Square meters: 1000