Mradi mpya
kimbiji golani iii.
-ni mradi mzuri na wa kuvutia.
-umbali ni 30km toka ferry.
-umbali ni 3km toka kimbiji center.
-mbele ya kiwanda cha cement (nyati).
-viwanja vimepimwa kuanzia square meter 400 yaani20m kwa20m na kuendelea.
-bei ya square meter moja ni tshs 3750
-hati hutolewa baada ya kumaliza malipo.
Malipo!
Ni milioni 1.5 cash kwa kiwanja kimoja chenye square meter 400.
Site visit ni jumatano na jumamosi.