Archive: Nyumba Inauzwa

Posted Nov 20      Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
0 views

Ad is archive
find similar ads in Houses & Apartments For Sale in Temeke

• Archive: Nyumba Inauzwa
Property Type
Bungalow
New Property
No
Total Rooms
4
Bedrooms
4
Bathrooms
2
Furnishing
Unfurnished
Parking Space
Yes
Broker Fee
No

Ad details

Archive: *house for sale*
*house for sale*
*house for sale*
*nyumba hii inauzwa*
*ipo kati kati ya moshi bar na kwa diwani*
*kwa wale wageni unapanda gari za gongo la mboto unashuka mombasa, unachukua bajaji zinazoenda moshi bar au kwa diwani, popote utakapo shuka ni karibu na eneo la nyumba ilipo*
*ni nyumba kubwa yenye vyumba vinne(4) kimoja master, sebule na sehemu ya kupikia*
*na pia ina mabanda kwa nje yenye vyumba vitatu(3) vya kukaa na fremu moja ya biashara kama inavyoonekana kwenye picha*
*nyumba ipo kwenye junction(njia panda) ya barabara kuu kuelekea mjini*
*nyumba ina maji
*na ina eneo ya kuzungushia fensi ukaingiza gari a hata zaidi ya moja*
*haina udalali mimi ndio mmiliki*
*nyumba inauzwa mil 48 ila maongezi yapo*
*wahi sasa
• Archive: Nyumba Inauzwa
• Archive: Nyumba Inauzwa
• Archive: Nyumba Inauzwa
• Archive: Nyumba Inauzwa
• TSh 48,000,000
Deleted User
Last seen 5 months ago

Similar adverts