PureWash ni sabuni ya maji inayotumika kufulia nguo, kuoshea vyombo, kusafishia sakafu na maeneo mbalimbali ya nyumbani. Ina harufu nzuri na inapatikana kwa matumizi ya nyumbani na kibiashara. Pia ni salama kwa ngozi.
Ujazo: Lita 1
Bei ya jumla inapatikana.
Tunapokea oda.
Karibu uagize sasa!