keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Open now
• Mon - Sun, 08:00-18:00
Sofa set's zetu ni nzuri ,pana na zimejazwa kwa fiber na godoro imara ili kuwezesha kudumu kwa muda mrefu
pia tunapokea oda za furniture aina zote kwa gharama nafuu mno
furniture zetu ni imara na hazina matatizo yoyote
karibuni sana