keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Closed now
• Mon - Sun, 08:00-18:00
Tunauza, kutengeneza, kufanya repair, pamoja na kupokea order za sofa sets aina zote kwa matumizi ya majumbani na maofisini,sofa zetu ni bora na gharama zetu ni nafuu mno , karibuni sana