keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Closed now
• Mon - Sun, 08:00-18:00
Tunauza, kutengeneza,kufanya repair pamoja na kupokea oda za sofa sets aina zote kwa gharama nafuu mno .
karibu mteja wetu ujipatie sofa sets zenye uimara zaidi pamoja na ubora wa material zenye uwezo wa kudumu mda mrefu bila kuharibika .
gharama zetu ni nafuu mno na utaipata bidhaa yako ndani ya muda tulipkibaliana .
karibuni sana