keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Open now
• Mon - Sun, 08:00-18:00
Tunauza sofa aina zote kwa gharama nafuu mno sofa zetu zimetengenezwa kwa ubora zaidi zinazoweza kudumu kwa muda mrefu pia tunadeal na utengenezaji wa furniture aina zote za majumbani, maofisini n.k tupe oda yako sisi tutakupa bidhaa unayohitaji na yenye ubora karibuni sana