keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Closed now
• Mon - Sun, 08:00-18:00
Tunauza, kutengeneza, kufanya repair pamoja na kupokea order za kitchen cabinets aina zote za majumbani na maofisini tunatumia mbao ngumu kama mninga, mkongo, mpodo etc. mafundi wetu ni wauhakika na wakuaminika na gharama zetu ni nafuu sana ,karibuni sana