keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Closed now
• Mon - Sun, 08:00-18:00
Tunadeal na utengenezaji wa kitchen aina zote kwa gharama nafuu mno , kitchen zetu tumezingatia zaidi ubora na uimara wa mbao zetu , karibu sasa utukabidhi jiko lako na sisi tukupe kile unachohitaji kwa ubora wa hali ya juu