keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Closed now
• Mon - Sun, 08:00-18:00
Tunauza, kutengeneza, kufanya repair, pamoja na kupokea order za milango aina zote na tunatumia mbao ngumu kama mninga, mkongo, mpodo kutengeneza furniture zetu na gharama zetu ni nafuu sana karibuni sana