keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Closed now
• Mon - Sun, 08:00-18:00
Tunauza, kutengeneza, kufanya repair pamoja na kupokea order za milango aina zote ya majumbani na maofisini, tunatumia mbao ngumu kama mninga, mkongo, mpodo etc.mafundi wetu ni wa uhakika na gharama zetu ni nafuu sana karibuni sana