keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Open now
• Mon - Sun, 08:00-18:00
Tunapokea oda za dinning tables aina zote kulingana na mahitaji yako mteja wetu
pia tunauza ,kufanya repair pamoja na kupokea oda za furniture aina zote kwa gharama nafuu mno
karibu mteja wetu kwetu wewe ni mfalme na kuhusu ubora tuachie sisi kwani ni jukumu letu karibuni sana