Kama wewe ni msambazaji au mmiliki wa duka la samani, tunakupa fursa ya kupata Cream Modern Fabric Sofa Suite (601-6) kwa bei ya kiwandani (Wholesale Price). Sofa hizi zimetengenezwa kwa viwango vya juu vya soko, miguu thabiti yenye nakshi ya dhahabu, na muonekano wa kifahari unaovutia wateja haraka.