tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Food, Agriculture & Farming
  3. Seeds & Fertilizers
Dar es Salaam, Temeke, 28/05
12 views

Kwanini Unahitaji Mmea Wa Mwani Nyumbani Kwako?

+1
1
Other
Type
Mwani (Sea Moss) ni mmea wa baharini wenye virutubisho vingi vinavyoweza kusaidia mwili kufanya kazi vizuri. Faida za Mwani Kitaalamu • Chanzo kizuri cha madini ya potasiamu, ambayo husaidia udhibiti wa shinikizo la damu. • Hulainisha mfumo wa chakula, kusaidia mmeng’enyo, kusafisha utumbo na kupunguza muwasho wa tumbo. • Zipo tafiti zinazoonyesha kuwa kiungo cha fucoxanthin kinaweza kusaidia katika udhibiti wa sukari mwilini. • Mwani una magnesium, madini ambayo mara nyingi huwa kidogo kwenye vyakula vya kawaida. • Una zinc, madini yanayochangia afya ya mfumo wa uzazi na nguvu za mwili. • Una nyuzi (fiber) zinazosaidia kushiba haraka na kupunguza ulaji wa kalori – muhimu kwa kudhibiti uzito. • Una calcium, inayosaidia afya ya mifupa na viungo. • Ni chakula cha alkaline, hivyo kinaweza kusaidia uwiano wa asidi mwilini.
Kwanini Unahitaji Mmea Wa Mwani Nyumbani Kwako?Kwanini Unahitaji Mmea Wa Mwani Nyumbani Kwako?Kwanini Unahitaji Mmea Wa Mwani Nyumbani Kwako?Kwanini Unahitaji Mmea Wa Mwani Nyumbani Kwako?Kwanini Unahitaji Mmea Wa Mwani Nyumbani Kwako?Kwanini Unahitaji Mmea Wa Mwani Nyumbani Kwako?Kwanini Unahitaji Mmea Wa Mwani Nyumbani Kwako?Kwanini Unahitaji Mmea Wa Mwani Nyumbani Kwako?Kwanini Unahitaji Mmea Wa Mwani Nyumbani Kwako?
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • First, check what you're going to buy to make sure it's what you need
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif