keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Closed now
• Mon - Sun, 08:00-18:00
Tunauza, kutengeneza,pamoja na kufanya repair ya milango na madirisha aina zote kwa gharama nafuu , tunatumia mbao ngumu kama mninga na mkongo na tunafanya kwa uaminifu mkubwa mno karibuni sana