keko furniture Dar es salaam & Kigamboni chekechea near hbr oil station
Closed now
• Mon - Sun, 08:00-18:00
Tunadeal na utengenezaji wa milango aina zote , ya majumbani ,maofisini n.k kwa gharama nafuu mno . tunatumia material imara kama mninga na mkongo inayowezesha kudumu kwa muda mrefu zaidi bila kuharibika wala kuliwa na wadudu . utapatiwa bei kulingana na vipimo vya milango yako . karibuni tuwadumie ,mteja kwetu ni mfalme .