Sasa tunakuletea Kanzu ya Kisasa ya Kimaghribi (Off-White,black,cream etc) iliyoundwa kwa ajili ya mwanamume anayependa kupendeza kwa staili na adabu.
Sifa za Kanzu Hii:
• Nyenzo Bora: Imetengenezwa kwa kitambaa chepesi, laini na cha kisasa kinachopitisha hewa vizuri, kinachokufanya uwe na amani siku nzima.
• Urembo wa Hali ya Juu: Ina nakshi maridadi za rasta (embroidery) za rangi ya cream kwenye kola, kifuani na kwenye mfuko zinazotoa muonekano wa kifahari.
• Muundo wa Kisasa: Kola ya duara yenye vifungo vya giza (contrasting buttons) inayochanganya utamaduni na mitindo ya sasa.
• Matumizi: Inafaa sana kwa ajili ya Ibada ya Ijumaa, sherehe za kifamilia, harusi (Sufi/Maghribi look), au mtoko wowote wa kipekee.
Muonekano wako ndio heshima yako! Wahi yako sasa kabla hazijaisha.
DM kuweka oda yako sasa! +