Car/motorcycle tacker imetumika ipo zuri kabisa tunauza kwa bei ,yupo fundi tutakuunganisha nae atakusetia ktk kifaa chako na kuweza kufuatilizia mwenendo wake wew mwenyew na inauwezo hata kuizima gari popote ilipo isiweze kuwaka tena yaani control y gari/pikipiki upo nayo wew ktk smartphone yako Sio dereva